Fc barcelona kupitia ukurasa wao wa instagram wamepost jezi au uzi mpya utaokuwa unavaliwa na mastaa wake katika msimu wa 2019/2020. Frenkie de jong ni mmoja wa mastaa wa fc barcelona ambao wamesajili kipindi cha hivi karibuni ili kuimarisha kikosi cha mabingwa hao wa Spain na ameonyesha kufurahishwa na uzi mpya utakao kuwa unatumika katika kuwania makombe mbalimbali ndani na nje ya ligi ya Spain maarufu kama La liga. Fc Barcelona ni mabingwa mara ishirini na sita(26) wa kombe hilo wakiwa nyuma ya Real madrid ambao wao wamechukua kombe la La Liga mara thelathini na tatu(33) Una maoni gani kuhusu uzi wao mpya?
0 Comments